Theolojia Katika Picha

/ 7 7

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Jinsi ya kuanza kusoma Biblia (muendelezo)

Unaweza kupata mwongozo wa muhtasari huu kutoka www.tumistore.org . Uorodheshwaji huu rahisi wa vitabu vya maandiko utakuruhusu kusoma hadithi yote ya Biblia katika mpangilia wa matukio yalivyotokea. Hii itakupa wewe ufahamu wa jumla wa Biblia kama tamthilia moja inayoendelea, na si kama vitabu vinavyojitegemea vilivyotenganishwa kutoka kwa kila kimoja. Na pia inatusaidia sisi tunaosoma Biblia nzima kila mwaka kusalia katika kiini kinaachohusu ukweli wa mambo na dhamira ya maandiko, Wokovu wa Mungu katika utu wa Yesu wa Nazareti –Kristo. Mwongozo huu utatupa utajiri wa ufahamu katika matukio ya maandiko, na kukusaidia wewe kuelewa maana ya hadithi nzima ya wokovu na neema ya Mungu, ambayo ni kilele katika matukio ya Kristo, kifo chake, kuzikwa ufufuo, kupaa na kurudi.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software