Theolojia Katika Picha
/ 9 7
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Kazi ya Roho Mtakatifu katika Uongozi wa Kiroho (muendelezo)
(3) Maombi ya Mtakatifu Anselm wa Canterbury (1033-1109). Nifundishe kukutafuta Na ninapokutafuta, jionyeshe kwangu, Kwa maana siwezi kukutafuta usiponionyesha jinsi gani, Na sitakupata kamwe isipokuwa umejionyesha kwangu.
Acha nikutafute kwa kukutamani, Na kukutamanini kwa kukutafutani; Acha nikupate kwa kukupenda, Na kukupenda kwa kukupata. Amina.
IV. Kwa faida ya kujisomea zaidi, pitia vitabu hivi:
Richard J. Foster. Chapter 12. “Guidance.” Celebration of Discipline: The Path to Spiritual Growth. San Francisco: HarperSanFrancisco, 1998. Gordon T. Smith. The Voice of Jesus: Discernment, Prayer and the Witness of the Spirit . Downers Grove, IL: InterVarsity Press, 2003 Charles Stanley. How to Listen to God. Nashville: Thomas Nelson, 1985. Mark Water. Knowing God’s Will Made Easier. Peabody, MA: Hendrickson, 1998.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software