Theolojia Katika Picha

9 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kielelezo cha Uongozi wa Kanisa Umuhimu wa Uongozi wa Kibiblia Mch. Dkt. Don L. Davis

1. Ufalme wa Mungu umekuja katika nafsi ya Yesu wa Nazareti , na sasa unadhihirika kwa njia ya Roho katika Kanisa.

2. M iji ya ulimwengu, kama ngome za ibilisi, inahitaji sana uwepo na ushuhuda wa Kanisa.

3. Kanisa haliwezi kustawi na kutoa ushuhuda bila uongozi .

4. U ongozi wa kweli katika Kanisa lazima uwe umeitwa na Mungu, umwakilishe Yesu Kristo, uwe na karama za Roho Mtakatifu, na uthibitishwe na wengine katika Mwili.

5. V iongozi walioitwa, waliopewa karama, na waliothibitishwa lazima wapewe mamlaka, rasilimali, na fursa ili kuwezesha ukomavu na kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi ya huduma.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software