Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
/ 1 0 7
U O N G O F U & W I T O
1. Msijiwekee hazina duniani.
a. Mathayo 6:19-21
b. Luka 14:33
2. Upendo huu utatufanya kuupa kisogo umaarufu na utajiri unaohusishwa na maisha haya.
C. Wito wa ufuasi unahusisha mateso kutoka kwa wale wanaomchukia Bwana.
1. Mathayo 10:22-25
2. Matendo 14:21-22
4
3. 2 Timotheo 3:12
4. Yohana 12:24-26
5. 1 Petro 2:21-25
II. Wito wa Ufuasi Unamaanisha kwamba Tumeitwa Kuishi kama Wageni na Wasafiri katika Ulimwengu huu.
A. Tumeagizwa kuangaza kama nuru katika ulimwengu huu wa sasa wa uovu, Flp. 2:14-16.
1. Sisi si wa mfumo wa ulimwengu huu wa sasa, Yoh. 17:14-18.
Made with FlippingBook flipbook maker