Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
1 0 8 /
U O N G O F U & W I T O
2. Tumeitwa kuwa chumvi (kihifadhi kinachotegemeza na kurutubisha uhai) na nuru (nguvu inayoangazia njia na kufichua kile kilichopo).
a. Mathayo 5:14-16
b. Waefeso 5:8-14
c. Warumi 13:11-12
3. Tunaangaza, tunatumika kama nuru ulimwenguni tunapopita, na sio kuweka makazi na makambi ya nguvu na ushawishi hapa.
a. 1 Petro 2:11
b. Waebrani 11:16
4
B. Neno hutuangazia kwa habari ya ubatili wa kuupenda ulimwengu na vitu vilivyomo, 1 Yoh. 2:15-17.
1. Kuupenda ulimwengu ni kujikuta katika makusudi tofauti na Mungu (Yakobo 4:4).
2. Tunatia nanga katika tumaini letu la mbingu mpya na nchi mpya ambamo haki ya Mungu itakaa, 2 Pet. 3:11-13.
3. Kama vile Jim Elliott, mmishonari kwa Wahindi wa Auca wa Ecuador alivyosema, “Si mpumbavu mtu anayeacha kile ambacho hawezi kuhifadhi ili kupata kile ambacho hawezi kupoteza.”
Made with FlippingBook flipbook maker