Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

1 1 0 /

U O N G O F U & W I T O

2. Tumeitwa kuchukua msalaba wetu kila siku na kumfuata.

a. Luka 9:23

b. Luka 14:27

c. 2 Wakorintho 4:10-12

3. Tumesulubishwa pamoja na YesuKristo ili sasa tuishi kama watumishi na watumwa wa Mungu katika ulimwengu huu.

a. Wagalatia 2:20

b. Wagalatia 6:14

4

c. Warumi 6:3-4

C. Ikiwa tunaishi au tunakufa, sisi ni wa Bwana, na shauku yetu lazima iwe kumtukuza iwe kwa uzima au kwa kifo.

1. Hakuna hata mmoja wetu anayeishi au kufa kwa madhumuni yetu wenyewe, Rum. 14:7-9.

2. Nia ya Kristo (iliyokuwa ya unyenyekevu, ya kujikana na ya kujitoa) inapaswa kudhihirishwa ndani yetu, Flp. 2:5-8.

3. Paulo alifika mahala pa kusema kwamba iwe kwa uzima au kwa kifo, shauku yake pekee ilikuwa kwamba Bwana Yesu atukuzwe katika mwili wake, Flp. 1:20-21.

Made with FlippingBook flipbook maker