Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

4 8 /

U O N G O F U & W I T O

I. Roho Mtakatifu, kwa njia ya Neno la Mungu, Anauthibitishia Ulimwengu kuhusu Dhambi.

Muhtasari wa Sehemu ya 1 ya Video

A. Maandiko yanafundisha kwamba dhambi ni ya ulimwengu wote katika upeo wake na ina asili ya uharibifu.

ukurasa 185  7

Yohana 16:7-11: Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. 8 Naye akiisha kuja, huyo atauthibitishia ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu. 9 Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi; 10 kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena; 11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu

1. Dhambi ni ya ulimwengu wote.

a. Warumi 3:23 inasema kwamba wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.

2

b. Dhambi ni uasi dhidi ya Mungu na uasi dhidi ya amri zake. (1) Zab. 51:4 (2) Luka 15:18

2. Dhambi ni kila kitu ambacho ni kinyume na Mungu na kushindwa kuendana na tabia na kusudi la Mungu.

a. Inagusa watu wote na inafisidi wanadamu wote kwa kiwango kile kile.

wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

b. Dhambi ni ya ulimwengu wote katika upeo wake, ina asili yenye uharibifu kabisa, Rum. 3:9-12.

3. Tuna hatia mbele za Mungu, Rum. 5:18-19.

a. Kwa msingi wa matendo yetu ya dhambi

Made with FlippingBook flipbook maker