Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

/ 4 9

U O N G O F U & W I T O

b. Kupitia uhusiano wetu wa karibu na dhambi ya Adamu (taz. Rum. 5:18-19)

B. Tumehukumiwa dhambi kupitia hukumu ya Sheria ya Mungu.

1. Sheria ya Mungu ni takatifu, njema, yenye kukubalika, na inawakilisha matakwa yake kwetu sisi kama viumbe wake; inadhihirisha hali yetu ya dhambi.

a. Rum. 7:7-8

2

b. Rum. 7:12

2. Kwa sababu ya udhaifu wa miili yetu, hakuna awezaye kuokolewa kwa juhudi zake za kushika matendo ya Sheria.

a. Hakuna hata mmoja wetu ambaye amewahi kuishika Sheria ya Mungu kwa kiwango kinachokubalika kwake, Gal. 3:10-12.

b. Sheria ni mfumo uliofungwa. Kutotii Sheria ya Mungu hata kwa kipimo kidogo ni kuwa na hatia juu ya Sheria yote kwa ujumla wake, Yakobo 2:10-11.

C. Neno la Mungu hutia hatiani na kuzalisha majuto ya kimungu na kuvunjika, likimfunulia msikilizaji ukweli wa injili ya Mungu.

1. Neno la Mungu lina nguvu za kiroho za kutulinda na dhambi, Zab. 119:11.

Made with FlippingBook flipbook maker