Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
5 0 /
U O N G O F U & W I T O
2. Neno la Mungu lilizalisha uthibitisho na toba kwa mabaki ya Israeli baada ya utumwa, likiwaongoza kumtukuza Mungu katika dhabihu na utii wao, Ezra 7:10-.
3. Neno la Mungu lilizalisha toba ya dhambi katika uamsho mkuu wa Yosia ambao ulilihuisha taifa, 2 Wafalme 22:13.
ukurasa 185 8
II. RohoMtakatifu, kupitiaNeno laMungu, AnauthibitishaUlimwengu kwa habari ya Haki.
A. Neno la Mungu linafunua mambo manne ya haki.
2
1. Mungu Mwenyezi ni mwenye haki kabisa katika nafsi yake. Haki yake inafunuliwa kuwa isiyobadilika na isiyo na mwisho.
a. Tabia ya Mungu ya haki haibadiliki wala haina kigeu-geu kamwe, Yakobo 1:17.
b. Mungu ni mwenye haki katika kila jambo analofanya, Kum. 32:4.
2. Haki ya wanadamu imetiwa doa na haikubalika kwa Mungu, Isa. 64:6-7.
3. Jambo la tatu kuhusu haki ya kibiblia ni ile haki ambayo Mungu anatuhesabia kwa sababu tumemwamini Yesu Kristo.
a. Rum. 3:21-23
b. 2 Kor. 5:21
Made with FlippingBook flipbook maker