Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

/ 5 1

U O N G O F U & W I T O

4. Jambo la mwisho linahusu Roho Mtakatifu anayekaa ndani yetu ambaye huzaa haki ndani yetu tunapojisalimisha kwake kwa uaminifu na utii, Rum. 8:3-4.

B. Maandiko hayaruhusu mtu yeyote kujivunia haki yake mwenyewe.

1. Wanadamu wote wanahukumiwa kuwa wasio na haki mbele za Mungu, Rum. 3:19.

2. Bila YesuKristo, hakuna anayekubalika kwaMungu; wote wamepotea, wametiwa hatiani na kuhukumiwa kabisa kupata ghadhabu na hukumu ya Mungu (Yohana 3:36).

ukurasa 186  9

2

III. Roho Mtakatifu, kupitia Neno la Mungu, Anauthibitishia Ulimwengu kwa habari ya Hukumu.

A. Wasioamini wote wamehukumiwa na wanakabiliwa na ghadhabu ya Mungu kulingana na Maandiko.

1. Wasioamini wanaitwa “watoto wa ghadhabu,” Efe. 2:1-3.

2. Mungu ameweka siku ya kuhukumu ulimwengu kupitia Yesu Kristo (Matendo 17:30-31).

B. Mungu atawahukumu watu wote kila mahali sawasawa na matendo yao, yawe mazuri au mabaya.

1. Yesu anatangaza katika Ufunuo 22:12 kwamba hivi karibuni atarudi kuwahukumu watu wote kulingana na matendo waliyotenda.

Made with FlippingBook flipbook maker