Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
/ 5 9
U O N G O F U & W I T O
2. Nia ya Mungu ya kurejesha wanadamu wote kupitia mzao wa Ibrahimu imetimizwa katika Yesu Kristo, Gal. 3:13-14.
3. Sasa kupitia kwa mzao wa Ibrahamu na mtiwa-mafuta wa Mungu, Yesu Kristo, mpango wa Mungu kwa ajili ya ulimwengu unatimizwa. Katika Yesu, Mungu anarejesha utawala wa ufalme wake ulimwenguni (Kol. 1:13-14).
C. Kwa muhtasari huu wa kazi ya wokovu ya Mungu, hakuna ushahidi wenye mamlaka, wa kutegemewa, au wa kutosha uliopo zaidi ya Neno la hakika la Mungu.
2
1. Mungu kamwe habadilishi Neno lake au ahadi ya agano lake, Zab. 89:34-35.
2. Tofauti na walivyo wanadamu, Mungu hasemi uongo wala hashindwi kutekeleza ahadi yake, Hes. 23:19.
3. Kutobadilika kwa Mungu (yaani, asili isiyobadilika) kunatoa uhakikisho wa kwamba Neno la Mungu ni chanzo cha kuaminika kabisa cha kuielewa nia na mapenzi yake.
a. Malaki 3:6
b. Mathayo 24:35
c. Yakobo 1:17
Made with FlippingBook flipbook maker