Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
6 0 /
U O N G O F U & W I T O
III. Neno la Mungu Linatuthibitishia kuhusu Ukweli Kupitia Ushahidi waManabii naMitume,WajumbewaMunguwaKweliWaliovuviwa. Mungu Amelifunua Neno kupitia Manabii, Yesu Kristo, na Wajumbe wake Walioteuliwa: Mitume Wake.
ukurasa 187 13
A. Nyakati zilizopita Mungu alizungumza kupitia manabii .
1. Mungu alizungumza na watu wake wateule kupitia manabii, Ebr. 1:1.
2. Ujumbe wa Mungu kupitia manabii wake ulibeba muhtasari mkuu wa nia yake ya kuwaokoa wanadamu, 1 Pet. 1:10-12.
2
B. Hatimaye, Mungu amezungumza na ulimwengu kikamilifu kupitia Yesu Kristo .
1. Yesu ndiye ufunuo wa mwisho wa Mungu kwa wanadamu, Ebr. 1:2.
2. Yesu pekee ndiye aliyeufunua utukufu wa Baba, Yohana 1:18.
3. Hakuna chanzo kingine cha ufunuo kinachotosha kama Kristo, Kol. 2:8-10.
C. Yesu alikabidhi kwa Mitume ujumbe wake mkuu na wenye tumaini.
1. Walichaguliwa moja kwa moja kuwa pamoja na Kristo na kuhubiri katika jina lake (Mk. 3:13-15).
Made with FlippingBook flipbook maker