Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
8 0 /
U O N G O F U & W I T O
1. Yesu aliteseka kama Mwana wa Mungu mara moja kwa ajili ya dhambi zetu ili kutuleta kwa Mungu, 1 Pet. 3:18.
a. Ni imani yetu katika Kristo ndiyo inayookoa, si uwezo wetu wa kutimiza matendo ya haki au utii wa Sheria ya Mungu.
b. Wale walio wenye haki mbele za Mungu wataishi kwa imani, Rum. 1:16-17.
c. Kama waamini, tunaenenda kwa imani, si kwa kuona, 2 Kor. 5:7.
2. Tunapoamini, tunakombolewa kutoka katika dhambi zetu na kuhesabiwa haki mbele za Mungu kwa neema kwa njia ya imani ( sola gratia - neema pekee; sola fides - imani pekee).
3
a. Efe. 2:8-9
b. 2 Tim.1:8-10
c. Tito 2:11-14
C. Kazi ya Mungu ya kugeuza kupitia Neno inashuhudiwa katika nyakati tatu za kazi ya wokovu ya Mungu.
1. Tumekombolewa (wakati uliopita) na adhabu ya dhambi kwa kifo cha Yesu Msalabani.
a. 1 Kor. 1:18
b. Kol. 1:13
Made with FlippingBook flipbook maker