Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
/ 8 1
U O N G O F U & W I T O
2. Tunakombolewa (wakati uliopo) kutoka katika nguvu za dhambi kwa njia ya Roho Mtakatifu.
a. Fil. 2:12-13
b. Rum. 8:1-4
3. Hatimaye, tutakombolewa (wakati ujao) kutoka katika uwepo wa dhambi wakati wa Ujio wa Pili wa Yesu Kristo.
a. Yohana 14:1-4
b. 1 Yohana 3:1-3
3
II. Neno Linalogeuza kwa Ufanisi Linatuongoza kwenye Metanoia , yaani, kwenye Toba. Vipengele vya kibiblia vya toba :
A. Toba inahusisha badiliko la nia .
1. Mathayo 21:28-29 inaonyesha maana hii ya toba, jinsi mwana alivyobadilisha nia yake.
2. Mwana mpotevu alitubu, alibadili nia yake na kuamua kurudi nyumbani kwa baba yake, Lk 15:17-18.
3. Petro aliwaamuru Wayahudi siku ya Pentekoste watubu, wabadili nia zao, na waje kwa Yesu Kristo, Mdo. 2:38.
Made with FlippingBook flipbook maker