Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
8 2 /
U O N G O F U & W I T O
B. Toba inahusisha kuonyesha huzuni ya kimungu kwa ajili ya dhambi .
1. Daudi anaonyesha huzuni hii katika Zaburi 38:18.
2. Katika mfano wa Yesu kuhusu Farisayo na mtoza ushuru katika Luka 18:9-14, mtoza ushuru anafunua taswira ya huzuni ya kimungu, na matokeo yake.
C. Toba husababisha kuungama na kuacha dhambi .
1. Mwana mpotevu, Luka 15:18
2. Mtoza ushuru, Luka 18:13
3
3. Kuungama na kuacha dhambi, Mit. 28:13
4. Kugeuka na kuacha njia mbaya , Isa. 55:7
D. Toba inahusisha kumgeukia Mungu katika Kristo kutoka katika ibada ya sanamu na ubatili .
1. Kugeuka kutoka gizani na kuingia katika nuru, kutoka katika nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu, Mdo. 26:18
2. Kumgeukia Mungu na kuachana na sanamu , 1 Thes. 1:9
E. Toba Kama vuguvugu husababisha nia ya matengenezo na urejesho .
Made with FlippingBook flipbook maker