Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

/ 8 3

U O N G O F U & W I T O

1. Zakayo anadhihirisha toba ya kweli anapothibitisha nia yake ya kufidia kosa lake kwa kurudisha mali alizojipatia kwa udhalimu, Luka 19:8-9.

2. Mwana mpotevu , kwa kuitikia toba yake, anarudishwa kwenye uhusiano kamili na baba yake, Luka 15:21-24.

ukurasa 193  6

III. Neno Ligeuzalo, Neno Linalotuongoza kwenye Toba, Pia Linatuongoza kwenye Imani ( Pistis ), Ebr. 11:1.

A. Sikia ushuhuda wa mitume kuhusu kazi ya Mungu katika Yesu wa Nazareti, 1 Kor. 15:1-5.

1. Yesu alizaliwa na bikira (alifanyika mwili).

3

2. Yesu aliishi ulimwenguni sawa sawa na mapenzi ya Mungu.

3. Yesu aliteswa.

4. Yesu alikufa msalabani.

5. Siku ya tatu, Yesu alifufuka katika wafu.

6. Alipofufuka, alionekana na mashahidi wengi.

B. Kiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, Rum. 10:9.

Made with FlippingBook flipbook maker