Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi

8 4 /

U O N G O F U & W I T O

1. Yesu Kristo alikufa, akafufuka, na sasa ameinuliwa hadi mkono wa kuume wa Mungu, Flp. 2:9-11.

2. Yesu amepewa jina lipitalo majina yote, katika enzi hii na ile ijayo, na Mungu akamfanya kuwa mkuu juu ya Kanisa, Efe. 1:19-23.

C. Thibitisha imani kwamba Mungu Mwenyezi alimfufua Yesu Kristo katika wafu, Rum. 10:9.

D. Kwa msingi wa maungamo haya na imani hii, Mungu anatupa uzima wa milele kwa neema pekee ( sola gratia ) kwa njia ya imani pekee ( sola fides ).

ukurasa 193  7

1. Yohana 16:7-11

3

2. Yohana 1:12-13

3. 1 Yohana 5:11-13

Hitimisho

» Neno linalogeuza kwa lugha nyingine ni habari njema ya wokovu kwa imani katika Yesu Kristo. Injili ya Kristo ndilo Neno linalogeuza. » Neno hili lenye nguvu hutuongoza vyema kwenye metanoia , yaani, toba ya dhambi na kazi mfu za kidini na kutuelekeza katika imani kwa Mungu kwa njia ya Yesu Kristo. » Neno hili huzalisha ndani yetu imani ( pistis ), njia ambayo Mungu humwokoa, na kumkomboa mtu kutokana na adhabu, nguvu, na uwepo wa dhambi.

Made with FlippingBook flipbook maker