Uongofu na Wito, Swahili Module 1 Mwongozo wa Mkufunzi
/ 9 1
U O N G O F U & W I T O
c. Mathayo 11:28-30
2. Tunda la Roho linapatikana kwa mwamini mpya kwa imani (yaani, huzalishwa na Roho Mtakatifu ndani ya mwamini), Gal. 5:22-23.
3. Yule aliye na tumaini la utukufu katika Kristo atajitakasa kama Kristo alivyo mtakatifu (1 Yoh. 3:2-3).
C. Ishara ya nje ya upendo na huduma kama ya Kristo kwa waamini wengine .
1. Katika hili wote watajua ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo (Yoh. 13:34-35).
3
2. Yeye asiyependa, hamjui Mungu (1 Yohana 4:7-8).
3. 1 Yohana 3:14
D. Ishara ya nje ya shauku inayodhihirishwa hadharani ya kushirikisha Habari Njema kwa waliopotea , na wale wasiomjua Kristo.
1. Tutaonyesha utayari unaoongezeka zaidi wa kutangaza Habari Njema kwa wale wasiomjua Kristo.
a. Fil. 1:18
b. Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu, 1 Pet. 3:15.
Made with FlippingBook flipbook maker