Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
105
Hapo Zamani za Kale, muendelezo
kazi yake kwa uumbaji na viumbe vyote. Hivi karibuni, ataondoa dhambi, uovu, kifo, na athari za Laana milele, na kuurejesha uumbaji chini ya utawala wake halisi, akifanya upya vitu vyote katika mbingu mpya na nchi mpya, ambapo viumbe vyote na uumbaji wote vitafurahia shalom ya Mungu wa Utatu milele, kwa utukufu na heshima yake pekee.
Na waliokombolewa wataishi kwa furaha milele. . .
Mwisho
Made with FlippingBook Digital Publishing Software