Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
109
Kiambatisho cha 10 Muhtasari wa Maandiko Mch. Dkt. Don L. Davis
Agano la Kale 1. Mwanzo - Mwanzo a. Adamu b. Nuhu c. Ibrahimu
12. 2 Wafalme - Ufalme Uliogawanyika a. Elisha b. Israeli (Ufalme wa Kaskazini unaanguka) c. Yuda (Ufalme wa Kusini unaanguka) 13. 1 Mambo ya Nyakati - Mipango ya Hekalu la Daudi a. Vizazi b. Mwisho wa utawala wa Sauli c. Utawala wa Daudi d. Maandalizi ya hekalu 14. 2 Mambo ya Nyakati - Hekalu na Ibada Vimeachwa a. Sulemani b. Wafalme wa Yuda
d. Isaka e. Yakobo f. Yusufu
2. Kutoka - Ukombozi (nje ya) a. Utumwa b. Ukombozi c. Sheria d. Hema ya Kukutania
3. Mambo ya Walawi - Ibada na Ushirika a. Sadaka na dhabihu b. Makuhani c. Sikukuu na sherehe 4. Hesabu - Huduma na Mwenendo a. Kuandaliwa b. Kutangatanga
15. Ezra - Wachache (Mabaki)
a. Kurudi kwa mara ya kwanza kutoka uhamishoni - Zerubabeli b. Kurudi kwa pili kutoka uhamishoni - Ezra (kuhani)
5. Kumbukumbu la Torati - Utii
a. Musa anapitia historia na sheria b. Sheria za kiraia na kijamii c. Agano la Palestina d. Baraka na kifo cha Musa
16. Nehemia - Kujenga Upya kwa Imani a. Kujenga upya kuta b. Uamsho c. Matengenezo ya kidini
6. Yoshua - Ukombozi (ndani ya) a. Teka nchi b. Gawanya ardhi c. Kuondoka kwa Yoshua 7. Waamuzi - Ukombozi wa Mungu a. Uasi na hukumu
17. Esta - Mwokozi wa Kike a. Esta b. Hamani c. Mordekai
d. Ukombozi: Sikukuu ya Purimu
b. Waamuzi kumi na wawili wa Israeli c. Hali za makosa
18. Ayubu - Kwa Nini Wenye Haki Huteseka a. Ayubu mcha Mungu b. Shambulio la Shetani c. Marafiki wanne wa kifalsafa d. Mungu anaishi
8. Rutu - Upendo
a. Ruthu anachagua b. Ruth anafanya kazi c. Ruthu anasubiri d. Ruth anapewa thawabu
19. Zaburi - Maombi na Sifa a. Maombi ya Daudi
9. 1 Samweli - Wafalme, Mtazamo wa Kikuhani a. Eli b. Samweli c. Sauli d. Daudi
b. mateso ya mcha Mungu; ukombozi c. Mungu anashughulika na Israeli d. Mateso ya watu wa Mungu - inaishia na utawala wa Bwana e. Neno la Mungu (Mateso ya Masihi na kurudi kwa utukufu)
10. 2 Samweli - Daudi
a. Mfame wa Yuda (miaka 9 - Hebroni) b. Mfalme wa Israeli yote (miaka 33 - Yerusalem)
20. Mithali - Hekima
a. Hekima dhidi ya upumbavu b. Sulemani c. Sulemani - Hezekia d. Aguri e. Lemueli
11. 1 Wafalme - Utukufu wa Sulemani, Kuanguka kwa Ufalme
a. Utukufu wa Sulemani b. Kuanguka kwa Ufalme c. Nabii Eliya
Made with FlippingBook Digital Publishing Software