Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
110
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
Muhtasari wa Maandiko, mwendelezo
21. Mhubiri - Ubatili a. Majaribio b. Uchunguzi c. Mazingatio
31. Obadia - Uharibifu wa Edomu a. Uharibifu unatabiriwa b. Sababu za uharibifu c. Baraka zijazo za Israeli 32. Yona - Wokovu wa Mataifa a. Yona hatii b. Wengine wanateseka c. Yona anaadhibiwa 33. Mika - Dhambi ya Israeli, Hukumu, na Urejesho a. Dhambi na Hukumu b. Neema na Urejesho ujao c. Maombi na Dua 34. Nahumu - Ninawi Inahukumiwa a. Mungu huchukia dhambi b. Hukumu ya Ninawi inatabiriwa c. Sababu za hukumu d. Yona anatii; maelfu wanaokolewa e. Yona hafurahishwi, hakuna upendo kwa nafsi 35. Habakuki - Mwenye Haki ataishi kwa Imani a. Malalamiko kwa dhambi ya Yuda ambayo haijahukuiwa b. Wakaldayo wataadhibu c. Malalamiko kwa habari ya uovu wa Wakaldayo d. Adhabu inaahidiwa e. Maombi ya uamsho; imani katika Mungu 36. Sefania - Uvamizi wa Babeli ni Kivuli cha Siku ya Bwana a. Hukumu juu ya Yuda inawakilisha Siku Kuu ya Bwana b. Hukumu juu ya Yerusalemu na majirani inatabiri hukumu ya mwisho ya mataifa yote c. Israeli inarejeshwa baada ya hukumu
22. Wimbo wa Sulemani - Hadithi ya Upendo
23. Isaya - Haki (Hukumu) na Neema (Faraja) ya Mungu a. Unabii wa adhabu b. Historia c. Unabii wa baraka 24. Yeremia - Dhambi ya Yuda Inapelekea kwenye Utumwa wa Babeli a. Wito wa Yeremia; kuwezeshwa b. Hukumu ya Yuda; ilitabiri utumwa wa Babeli c. Urejesho unaahidiwa d. Hukumu iliyotabiriwa inatolewa e. Unabii dhidi ya Mataifa f. Muhtasari wa utumwa wa Yuda 25. Maombolezo - Maombolezo juu ya Yerusalemu a. Mateso ya Yerusalemu b. Kuharibiwa kwa sababu ya dhambi c. Mateso ya nabii d. Ukiwa wa sasa dhidi ya fahari ya zamani e. Hitaji la rehema kwa Mungu 26. Ezekieli - Uteka na Urejesho wa Israeli a. Hukumu kwa Yuda na Yerusalemu b. Hukumu juu ya mataifa mengine c. Israeli wanarejeshwa; utukufu ujao wa Yerusalemu 27. Danieli - Wakati wa Mataifa a. Historia; Nebukadreza, Belshaza, Danieli b. Unabii
28. Hosea - Ukosefu wa Uaminifu a. Ukosefu wa uaminifu
37. Hagai - Kujenga upya Hekalu a. Uzembe b. Ujasiri c. Kutengwa d. Hukumu 38. Zekaria - Kuja kuwili kwa Yesu a. Maono ya Zekaria b. Swali la Betheli; Jibu la Yehova c. Anguko la taifa na wokovu
b. Adhabu c. Urejesho
29. Yoeli - Siku ya Bwana a. Pigo la nzige
b. Matukio ya Siku ya Bwana Inayokuja c. Mpangilio wa Siku ya Bwana Inayokuja
30. Amosi - Mungu Anahukumu Dhambi a. Majirani wanahukumiwa b. Israeli inahukumiwa c. Maono ya hukumu ijayo d. Baraka za hukumu iliyopita ya Israeli
39. Malaki - Kupuuza
a. Dhambi za kuhani b. Dhambi za watu c. Waaminifu wachache
Made with FlippingBook Digital Publishing Software