Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

111

Muhtasari wa Maandiko, mwendelezo

Agano Jipya 1. Mathayo - Yesu Mfalme a. Nafsi ya Mfalme

8. 2 Wakorintho - Huduma ya Kanisa a. Faraja ya Mungu b. Changizo kwa ajili ya maskini c. Wito wa Mtume Paulo

b. Maandalizi ya Mfalme c. Propaganda za Mfalme d. Mpango wa Mfalme e. Mateso ya Mfalme f. Nguvu ya Mfalme

9. Wagalatia - Kuhesabiwa Haki kwa Imani a. Utangulizi b. Jambo binafsi - Mamlaka ya mtume na utukufu wa Injili c. Jambo la kifundisho – Kuhesabiwa haki kwa imani d. Jambo la kufanyia kazi - Utakaso kwa Roho Mtakatifu e. Hitimisho binafsi na himizo a. Kifundisho - wito wa kimbingu wa Kanisa - Mwili - Hekalu - Siri b. Kiutendaji - mwenendo wa kidunia wa Kanisa 10. Waefeso - Kanisa la Yesu Kristo 11. Wafilipi - Furaha katika Maisha ya Kikristo a. Falsafa kwa maisha ya Kikristo b. Mfano wa maisha ya Kikristo c. Thawabu kwa maisha ya Kikristo d. Nguvu kwa maisha ya Kikristo 12. Wakolosai - Kristo Utimilifu wa Mungu a. Kifundisho - Kristo, utimilifu wa Mungu; katika Kristo waamini wanakamilishwa b. Kiutendaji - Kristo, utimilifu wa Mungu; Uzima wa Kristo umemiminwa ndani ya waumini, na kupitia wao. 13. 1 Wathesalonike - Ujio wa Pili wa Kristo: a. Ni tumaini lililovuviwa b. Ni tumaini litendalo kazi c. Ni tumaini lenye kutakasa d. Ni tumaini lenye kufariji e. Ni tumaini lenye kuinua, lenye kusisimua 14. 2 Wathesalonike - Ujio wa Pili wa Kristo a. Mateso ya waamini sasa; hukumu ya waamini baadaye (kwenye ujio wa Kristo) b. Mpango wa ulimwengu kuhusiana na ujio wa Kristo c. Masuala ya kimatendo yanayohusiana na ujio wa Kristo - Mtu Mpya - Bibi-arusi - Jeshi

2. Marko - Yesu Mtumishi

a. Yohana anamtambulisha Mtumishi b. Mungu Baba anamtambulisha Mtumishi c. Majaribu yanamzindua Mtumishi d. Kazi na Neno la Mtumishi e. Mazishi ya kifo, ufufuo a. Kuzaliwa na familia ya Mtu Mkamilifu b. Kujaribiwa kwa Mtu Mkamilifu; mji wa nyumbani c. Huduma ya Mtu Mkamilifu d. Usaliti, kesi, na kifo cha Mtu Mkamilifu e. Ufufuo wa Mtu Mkamilifu d. Ushahidi wa Yesu kwa mitume wake e. Mateso – ushahidi kwa ulimwengu f. Hitimisho 5. Matendo ya Mitume - Utendaji wa Roho Mtakatifu katika Kanisa a. Bwana Yesu akitenda kazi kwa Roho Mtakatifu kupitia mitume kule Yerusalemu b. Katika Uyahudi na Samaria c. Mpaka miisho ya dunia 3. Luka - Yesu Kristo Mtu Mkamilifu 4. Yohana - Yesu Kristo ni Mungu a. Dibaji - Umwilisho b. Utangulizi c. Shahidi wa kazi na maneno

6. Warumi - Haki ya Mungu a. Salamu b. Dhambi na wokovu c. Utakaso d. Mapambano

e. Maisha yaliyojazwa na Roho f. Usalama wa wokovu g. Kutengana

h. Sadaka na utumishi i. Kutengwa na Salamu

7. 1 Wakorintho - Ubwana wa Kristo a. Salamu na shukrani b. Hali za Kanisa la Korintho c. Kwa habari ya Injili d. Kwa habari ya changizo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software