Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

112

Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

Muhtasari wa Maandiko, mwendelezo

15. 1 Timotheo - Utawala na Utaratibu katika Kanisa la Mahali a. Imani ya Kanisa b. Maombi ya hadhara na nafasi ya wanawake katika Kanisa c. Maafisa katika Kanisa d. Ukengeufu katika Kanisa e. Majukumu ya Afisa wa Kanisa 16. 2 Timotheo - Uaminifu katika Siku za Ukengeufu a. Mateso ya Injili b. Uhai katika utumishi c. Uasi unakuja; mamlaka ya Maandiko d. Utii kwa Bwana 17. Tito - Kanisa Bora la Agano Jipya a. Kanisa ni Taasisi b. Kanisa linapaswa kufundisha na kuhubiri Neno la Mungu c. Kanisa linapaswa kutenda matendo mema 18. Filemoni - Funua Upendo wa Kristo na Fundisha Upendo wa Ndugu a. Salamu za dhati kwa Filemoni na familia b. Sifa nzuri ya Filemoni c. Ombi la neema kwa ajili ya Onesimo d. Isiyo na hatia kuwa mbadala ya enye hatia e. Kielelezo chenye utukufu cha kuhesabiwa haki f. Maombi ya jumla na ya kibinafsi

22. 2 Petro - Onyo dhidi ya Walimu wa Uongo a. Nyongeza ya neema za Kikristo hutoa hakikisho b. Mamlaka ya Maandiko c. Uasi ulioletwa na ushuhuda wa uongo d. Mtazamo kuelekea kurudi kwa Kristo: kipimo cha uasi 23. 1 Yohana - Familia ya Mungu a. Mungu ni nuru b. Mungu ni pendo c. Mungu ni uzima 24. 2 Yohana - Onyo dhidi ya Kupokea Wadanganyifu a. Enenda katika kweli b. Kupendana c. Kutopokea wadanganyifu d. Kupata furaha katika ushirika 25. 3 Yohana - Mawaidha ya Kuwapokea Waamini wa Kweli a. Gayo, ndugu katika Kanisa e. Agenda ya Mungu duniani f. Mawaidha kwa waumini

b. Diotrefe c. Demetrio

26. Yuda - Kuishindania Imani a. Sababu za waraka b. Matukio ya uasi

19. Waebrania - Ukuu wa Kristo

a. Kifundishi - Kristo ni bora kuliko utaratibu wa Agano la Kale b. Kiutendaji - Kristo huleta manufaa na wajibu bora zaidi

c. Nafasi ya waamini katika siku za uasi

27. Ufunuo - Kufunuliwa kwa Kristo Aliyetukuzwa

a. Nafsi ya Kristo katika utukufu b. Umiliki wa Yesu Kristo - Kanisa Ulimwenguni c. Mpango wa Yesu Kristo - tukio la Mbinguni d. Mihuri saba e. Baragumu saba f. Watu muhimu katika siku za mwisho g. Vitasa saba h. Kuanguka kwa Babeli i. Hali ya milele

20. Yakobo - Maadili ya Ukristo a. Imani inajaribiwa b. Ugumu wa kutawala ulimi c. Onyo dhidi ya udunia d. Maonyo kwa mtazamo wa kuja kwa Bwana 21. 1 Petro - Tumaini la Mkristo wakati wa mateso na majaribu a. Mateso na usalama wa waamini b. Mateso na maandiko

c. Kuteseka na mateso ya Kristo d. Mateso na Ujio wa pili wa Kristo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software