Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

113

Kiambatisho cha 11 Kuanzia Kabla hadi Zaidi ya Wakati Mpango wa Mungu na Historia ya Binadamu Imechukuliwa kwa Suzanne de Dietrich. God’s Unfolding Purpose. Philadelphia: Westminster Press, 1976.

I. Kabla ya Wakati (Umilele Uliopita) 1 Kor. 2:7 A. Mungu wa Utatu wa Milele B. Kusudi la Mungu la Milele C. Siri ya Uovu D. Enzi na Mamlaka

II. Mwanzo wa Wakati (Uumbaji na Anguko) Mwa. 1:1 A. Neno Liumbalo B. Ubinadamu C. Anguko D. Utawala wa Mauti na Ishara za Kwanza za Neema III. Kufunuliwa kwa Wakati (Mpango wa Mungu Kufunuliwa Kupitia Israeli) Gal. 3:8 A. Ahadi (Mababa) B. Kutoka na Agano kule Sinai C. Nchi ya Ahadi D. Mji, Hekalu, na Kiti cha Enzi (Nabii, Kuhani, na Mfalme) E. Uhamisho F. Masalio

IV. Utimilifu wa Wakati (Kufanyika Mwili kwa Masihi) Gal. 4:4-5 A. Mfalme Aja kwa Ufalme Wake

B. Uhalisia wa Sasa wa Utawala Wake C. Siri ya Ufalme: Uliopo na Utakaokuja D. Mfalme Aliyesulubiwa E. Bwana Mfufuka

V. Nyakati za Mwisho (Kushuka kwa Roho Mtakatifu) Matendo 2:16-18 A. Kati ya Nyakati: Kanisa kama Kionjo cha Ufalme B. Kanisa kama Wakala wa Ufalme C. Mgogoro kati ya Falme za Giza na Nuru

VI. Utimilifu wa Wakati (Ujio wa Pili) Mt. 13:40-43 A. Kurudi kwa Kristo B. Hukumu C. Utimilifu wa Ufalme Wake VII. Zaidi ya Wakati (Ujao wa Milele) 1 Kor. 15:24-28 A. Ufalme Umekabidhiwa kwa Mungu Baba B. Mungu kama Yote katika Yote

Made with FlippingBook Digital Publishing Software