Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

115

Kiambatisho cha 12 «Kuna Mto» Kutambua Mikondo ya Jumuiya Halisi ya Kikristo iliyohuishwa Jijini 1 Mch. Dkt.. Don L. Davis • Zab 46:4 - Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu.

Vijito vya Imani Halisi ya Kihistoria ya Biblia

Utambulisho wa Kibiblia Unaotambuliwa

Muunganisho wa Kihistoria Uliothibitishwa

Mamlaka ya Ufalme Iliyokitwa upya

Hali ya Kiroho cha Mjini Kilichohuishwa

Kanisa ni La ulimwengu mzima

Kanisa Ni Moja

Kanisa Ni Takatifu

Kanisa Ni la Kitume

Wito kwa Uhuru, Nguvu, na Ujazo wa Roho Mtakatifu Kutembea katika utakatifu, nguvu, karama, na uhuru wa Roho Mtakatifu katika mwili wa Kristo Wito wa Kuishi kama Wapitaji na Wageni kama Watu wa Mungu Kufafanua ufuasi halisi wa Kikristo kama ushirika mwaminifu kati ya watu wa Mungu Wito kwa Umuhimu wa Liturujia, Sakramenti, na Katekesi Kuuona uwepo wa Mungu katika muktadha wa Neno, sakramenti, na maagizo

Wito kwa Uaminifu wa Kibiblia Kutambua Maandiko kama nanga na msingi

Wito kwa Mizizi ya Kihistoria na Mwendelezo Kukiri utambulisho kihistoria unaofanana na mwendelezo wa imani halisi ya Kikristo Wito wa Kuthibitisha na Kueleza Ushirika wa Watakatifu Ulimwenguni Kuonyesha ushirikiano na waamini wengine wote, wa ndani na wa ulimwenguni kote. Wito kwa Ukarimu Mkuu na Matendo Mema Kudhihirisha upendo wa ufalme kwa wote, na hasa kwa wale wa jamaa ya waaminio

Wito kwa Imani ya Kitume Kuthibitisha mapokeo ya kitume kama msingi wa tumaini la Kikristo

wa imani na matendo ya Kikristo

Wito kwa Utambulisho wa Ufalme wa Kimasihi Kugundua tena hadithi ya Masihi aliyeahidiwa na Ufalme wake katika Yesu wa Nazareti Wito kwa Uhusiano wa Kiimani Kukumbatia Imani ya Nikea kama kanuni ya pamoja ya imani ya itikadi ya kihistoria

Wito kwa Mamlaka ya Uwakilishi Kujitiisha kwa furaha kwa watumishi wa Mungu waliojaliwa katika Kanisa kama wachungaji Wito kwa Ushahidi wa Kinabii na Ukamilifu Kumtangaza Kristo na Ufalme wake kwa maneno na matendo kwa jirani zetu na watu wote

1 Kielelezo hiki ni marekebisho na kimejikita kwenye maarifa ya kauli ya Wito wa Chicago ya Mei 1977, ambapo wasomi na watendaji wakuu mbalimbali wa kiinjili walikutana ili kujadili uhusiano wa uinjilisti wa kisasa na imani ya kihistoria ya Kikristo.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software