Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
116
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa, 19 Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa. – Lk. 4:18-19 (rej. Law. 25:10; Mith. 31:8; Mt. 4:17; 28:18-20; Mk. 13:10; Mdo. 1:8; 8:4, 12; 13:1-3; 25:20; 28:30-31) Kanisa ni Aina ya Jumuiya Ambapo Sakramenti Zinasimamiwa Ipasavyo, Kwa hiyo ni Jumuiya ya: Ibada - Utamwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na baraka zake zitakuwa juu ya vyakula vyako na maji yako. Nami nitaondoa maradhi miongoni mwako. - Kut. 23:25 (NEN) (rej. Zab. 147:1-3; Ebr. 12:28; Kol. 3:16; Ufu. 15:3-4; 19:5) Agano - Na Roho Mtakatifu naye amshuhudia; kwa maana, baada ya kusema, 16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao, Na katika nia zao nitaziandika; ndipo anenapo, 17 “Dhambi zao
Kanisa ni Jumuiya Takatifu Ambapo Nidhamu Inatekelezwa Ipasavyo, Kwa hiyo ni Jumuiya ya: Upatanisho - Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. 15 Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. 16 Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba. 17 Akaja akahubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali, na amani kwao wale waliokuwa karibu. 18 Kwa maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba
katika Roho mmoja. - Efe. 2:14-18 (rej. Kut. 23:4-9; Law. 19.34; Kumb. 10:18-19; Eze. 22:29; Mik. 6:8; 2 Kor. 5:16-21) Mateso - Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi. 2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu. - 1 Pet. 4:1-2 (rej. Lk. 6:22; 10:3; Rum. 8:17; 2 Tim. 2:3; 3:12; 1 Pet. 2:20-24; Ebr. 5:8; 13:11-14) Utumishi - Lakini Yesu akawaita, akasema, “Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. 26 Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu ye yote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; 27 na mtu ye yote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu;.” – Mt. 20:25-27 (rej. 1 Yoh. 4:16-18; Gal. 2:10)
Tumaini - Rum. 15:13 Bwana wa Kanisa Kanisa Jumuiya moja, takatifu, ya kitume ambayo inafanya kazi kama shuhuda wa (Mdo. 28:31) na kionjo cha (Kol. 1:12; Yak. 1:18; 1 Pet. 2:9; Ufu. 1:6) Ufalme wa Mungu. Kanisa ni Jumuiya ya Kitume Ambapo Neno Huhubiriwa Ipasavyo, Kwa hiyo ni Jumuiya ya: Wito - Ni kwa ajili ya uhuru kwamba Kristo ametuweka huru. Kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa.. - Gal. 5:1 (rej. Rum. 8:28-30; 1 Kor. 1:26-31; Efe. 1:18; 2 Thes. 2:13-14; Yuda 1:1) Imani - “Msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.”. . . Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; 32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.” – Yn. 8:24b, 31-32 (rej. Zab. 119:45; Rum. 1:17; 5:1-2; Efe. 2:8-9; 2 Tim. 1:13-14; Heb. 2:14-15; Yak. 1:25) Witness - Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma
na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa..” - Ebr. 10:15-17 (rej. Isa. 54:10-17; Eze. 34:25-31; 37:26-27; Mal. 2:4-5; Lk. 22:20; 2 Kor. 3:6; Kol. 3:15; Ebr. 8:7-13; 12:22-24; 13:20-21) Uwepo - Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho. - Efe. 2:22 (rej. Kut. 40:34-38; Eze. 48:35; Mt. 18:18-20)
Roho
Yesu akawajibu, “Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 35 Wala Ukamilifu (Ugonjwa)
mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote. 36 Basi
19 Hatateta wala hatapaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani. 20 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, Wala utambi utokao moshi
Mwana Imani - Ebr. 12:2 Nabii, Kuhani, na Mfalme Ufalme Utawala wa Mungu unadhihirishwa katika utawala wa Mwana wake Yesu Masihi. Uhuru (Utumwa)
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu;
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. - Isa. 53:5 Haki
(Ubinafsi)
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu,
moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu.
hatauzima, Hata ailetapo hukumu ikashinda. – Mt. 12:18-20
Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli..” – Yn. 8:34-36
Rum. 8:18-21
Ufu. 21:1-5
Isa. 11:6-9
Mbwa-mwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala pamoja na mwana-mbuzi; ndama na mwana-simba na kinono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza. 7 Ng’ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng’ombe. 8 Na mtoto anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto aliyeachishwa atatia mkono wake katika pango la fira. 9 Hawatadhuru wala hawataharibu katika mlima wangu wote mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua
Utawala wa Mungu Mmoja, wa Kweli, Mwenye Enzi Kuu na wa Utatu, BWANA Mungu, Yehova, Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Kiambatisho cha 13 Kielelezo cha Mpango wa Theolojia ya Ufalme na Kanisa The Urban Ministry Institute Pendo - 1 Yoh. 4:8 Maker of heaven and earth and of all things visible and invisible Uumbaji Yote ambayo yapo kupitia utendaji wa uumbaji wa Mungu. Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu. 19 Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu. 20 Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye atiyevitiisha katika tumaini; 21 kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. 2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. 3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. 4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. 5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli. Baba
Made with FlippingBook Digital Publishing Software