Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
122
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
Mapokeo, mwendelezo
1 Wakorintho 14:33-34 - Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu. 34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
6. Kusanyiko linapotumia mapokeo lililopokea ili kubaki katika uaminifu kwa “Neno la Mungu,” linasifiwa na mitume.
1 Wakorintho 11:2 - Basi nawasifu, kwa sababu mmenikumbuka katika mambo yote, nanyi mmeyashika yale mapokeo vile vile kama nilivyowatolea 2 Wathesalonike 2:15 - Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu. 2 Wathesalonike 3:6 - Ndugu, twawaagiza katika jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na kila ndugu aendaye bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.
Kiambatisho A
Vyanzo vya Mapokeo: Ngazi Tatu za Mamlaka ya Kikristo
Kutoka 3:15 - Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
1. Mapokeo ya ki Mamlaka: Mitume na Manabii (Maandiko Matakatifu)
Waefeso 2:19-21 - Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu. 20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. 21 Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana
~ Mtume Paulo
Mungu alifunua kazi yake ya kuokoa kwa wale ambao wangetoa ushuhuda wa macho kwa utukufu wake, kwanza katika Israeli, na
Made with FlippingBook Digital Publishing Software