Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

123

Mapokeo, mwendelezo

hatimaye katika Yesu Kristo Masihi. Ushuhuda huu ni wa lazima kwa watu wote, nyakati zote, na mahali pote. Ni mapokeo halali na yenye mamlaka ambayo kwayo mapokeo yote yanayofuata yanapimwa.

2. Mapokeo Makuu: Mabaraza ya Kiekumene na Imani zao 2

2 Tazama Kiambatisho B, “Kufafanua

Kile ambacho kimeaminiwa kila mahali, siku zote, na kwa wote.

Mapokeo Makuu,” mwishoni mwa hati hii.

~ Vincent wa Lerins

Mapokeo Makuu ndiyo dogma ya msingi (fundisho) ya Kanisa. Hii inawakilisha mafundisho ya namna Kanisa lilivyoelewa Mapokeo ya Kimamlaka (Maandiko Matakatifu), na kufupisha kweli hizo muhimu ambazo Wakristo wa nyakati zote wamekiri na kuamini. Kwa kauli hizi za kifundisho Kanisa zima (Katoliki, Othodoksi, na Kiprotestanti) 3 linakubaliana. Ibada na Theolojia ya Kanisa huakisi fundisho hili la msingi, ambalo hupata utimilifu na ukamilifu wake katika nafsi na kazi ya Yesu Kristo. Tangu nyakati za awali, Wakristo wameonyesha kujitoa kwao kwa Mungu katika kalenda ya Kanisa, utaratibu wa kila mwaka wa ibada ambao unafupisha na kuonyesha upya matukio ya maisha ya Kristo. Kanisa la Presbyteri (U.S.A.) lina takriban washirika milioni 2.5, makusabyiko 11,200 na wahudumu 21,000 waliowekwa wakfu rasmi. Historia ya Wapresbiteri Inaanzia karne ya 16 kwenye Matengenezo ya Kiprotestanti. Urithi wetu, na mengi ya yale tunayoamini, yalianza na mwanasheria Mfaransa John Calvin (1509-1564), ambaye maandishi yake yalifunua zaidi mawazo ya Wanamatengenezo waliotangulia kabla yake. Wakristo wameonyesha imani yao kwa Yesu Kristo kwa njia mbalimbali kupitia harakati na mapokeo maalum ambayo yanashikilia na kuelezea Mapokeo ya ki Mamlaka na Mapokeo Makuu kwa namna ya pekee. Kwa mfano, harakati za Kikatoliki zimewaibua watu kama Benedict, Francis, au Dominic, na miongoni mwa Waprotestanti watu kama Martin Luther, John Calvin, Ulrich Zwingli, na John Wesley. Wanawake walianzisha harakati muhimu za imani ya Kikristo (k.m., ~ Kanisa la Presbyteri, U.S.A.

3 Hata mrengo wenye msimamo mkali zaidi wa Matengenezo ya Kiprotestanti (Wanabaptisti) ambao walikuwa wakisitasita zaidi kushikilia kanuni za imani kama vyombo vya fundisho la imani thabiti, hawakupingana na maudhui muhimu yaliyopatikana ya Mapokeo Makuu. «Walikubali Imani ya Kitume - waliiita ‘Imani,’ Der Glaube, kama watu wengi walivyofanya.” Tazama John Howard

3. Mapokeo Maalum ya Kanisa: Vianzilishi vya Madhehebu na Taratibu

Yoder,Preface to Theology: Christology and Theological Method. Grand Rapids: Brazos Press, 2002. pp. 222-223.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software