Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

143

Tamko Letu la Utegemezi: Uhuru Katika Kristo, mwendelezo

Uhuru katika Kristo ni wito wa wazi wa kuishi utakatifu na furaha kama wanafunzi wa mijini. Uhuru huu utawawezesha kuona jinsi wanavyoweza kuwa bora kama Wakristo katikati ya aina ya maisha yanayoitwa “ya uhuru” ambayo yanaongoza tu kwenye utumwa, aibu, na majuto.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software