Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

150

Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

Kukabidhiwa (3) Uidhinishaji Sambamba na Uwezeshaji wa Kutenda iliyotolewa

Mafunzo (2)

badala ya)

au mwalimu

kuwakilisha)

zinazohusu wito

naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma. Yohana 20:21 - Basi Yesu akawaambia tena, Ajili ya Kutimiza Wito

kwa niaba ya aliyemtuma

Luka 10:1 - Basi, baada ya hayo Bwana aliweka na wengine, sabini, akawatuma wawili wawili wamtangulie kwenda kila mji na kila mahali alipokusudia kwenda mwenyewe. Luka 10:16 - Awasikilizaye ninyi anisikiliza mimi,

fursa ya kupata ujuzi muhimu • Kutambua vipawa na uwezo

Nyenzo na Mafunzo Sahihi kwa

• Upeo na mipaka ya mamlaka ya uwakilishi • Wajumbe rasmi (haki ya kutekeleza na

• Maagizo yenye nidhamu juu ya kanuni

• Mafunzo endelevu, kufanya mazoezi, na kupewa • Mafunzo ya kitaalam na mrejesho endelevu

• Kupewa ruhusa ya kuwa mjumbe (kusimama • Kutolewa ili kutimiza utume na kazi uliyoipokea.

Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.

• Kuwekwa chini ya msimamizi, kiongozi, mshauri,

• Kukasimisha mamlaka ya kutenda na kuzungumza

IMANI

Utimilifu wa

Kazi na Dhamira

Utume (4)

Uteuzi (1)

Mapenzi

Ya Mungu

Uongozi Kama

TABIA

waliokutuma

Yaliyofunuliwa

inayoaminika

Uwakilishi

Utendaji wa Uaminifu na Nidhamu katika Kazi

wanaotambua wito

• Kutimiza kazi uliyopewa

kwa yule aliyekutuma kazi

Uteuzi Rasmi na Wito wa Kuwakilisha • Kuchaguliwa kuwa mjumbe, balozi au wakala • Kuthibitishwa na wengine (mamlaka rasmi) jukumu fulani mahususi la uwakilishi • Wito kwa kazi au jukumi fulani • Kukabidhi nafasi au wajibu

wajibu wa mtu, bila kujali gharama

• Utiisho wa nia ya mtu ili kukamilisha kazi • Utiifu: kutekeleza maagizo ya wale

• Kufanya kazi kwa uhuru ndani ya mamlaka iliyokabidhiwa ya mtu ili kutimiza jukumu • Kudumisha uaminifu kwa wale waliokutuma • Kutumia njia zote zinazowezekana kufanya • Kutambua kikamilifu kwamba unawajibika

Idhini ya

DHAMIRA • Kutambulika kuwa mwanachama wa jumuiya • Kuitwa kutoka katika kikundi fulani kwa ajili ya Viongozi Wako

Thawabu (6)

Hesabu (5)

tathmini

endelevu

makubwa

mwenendo

kwa ukaguzi wa kina

mtu na matokeo yake

juhudi zetu zinaleta matokeo

• Namna rasmi ya kutangaza matokeo ya • Kutambua na kupongeza tabia na

Kutambuliwa hadharani na mwitikio

• Zawadi au onyo kulingana na utekelezaji • Matokeo ya tathmini kuwa kama msingi wa ama kubadilishiwa kazi au kubakishwa • Kukabidhi miradi mipya yenye mamlaka

• Tathmini rasmi ya kina ya utekelezaji wa • Hukumu ya uwajibikaji na uaminifu wa mtu • Uchambuzi nyeti wa kile tulichotimiza • Utayari wa kuhakikisha kuwa shughuli na

Tathmini Rasmi ya Uhakiki wa Utekelezaji • Kutoa taarifa kwa mamlaka iliyokutuma

Kiambatisho cha 32 Kuelewa Uongozi kama Uwakilishi: Hatua Sita za Uwakala Rasmi Don L. Davis

Made with FlippingBook Digital Publishing Software