Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

158

Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

Kiambatisho cha 38 Wito wa Utakatifu Ulinganisho wa Mitindo ya Maisha yenye Nidhamu na Isiyo na Nidhamu Mch. Dkt. Don L. Davis

Kutumia Karama, Uwezo, Rasilimali, na Fursa Zako kwa ajili ya Mungu

Kuachana na Mihemko, Hisia, Madhaifu

Kujitia Nidhamu kwa Kusudi la Utauwa

Maeneo ya Nidhamu

Nidhamu za Kiroho (kukariri Maandiko, maombi, kutafakari, kufunga, maisha ya kikanisa, kujifunza Biblia, n.k.)

Uangalifu wa uaminifu na wa kudumu unaotolewa kwa maendeleo na ukuaji wa kiroho

Kukosa umakini endelevu kwa nidhamu za kiroho

Utiishaji thabiti wa matamanio ili kuendana na mapenzi ya Mungu

Shauku na vichocheo

Huruhusiwa kuzurura popote

Tabia ya kuachana na wa upepo wa kimihemko na mihemko ya wakati huu

Kutambua hisia na mihemko, pasipo kutawaliwa nazo

Afya ya kihisia na hisia

Huhusisha muda na malengo na vipaumbele ndani ya mfumo ili kukamilisha kazi Hutumia pesa na mali kama mkopo kutoka kwa Bwana kwa kusudi lake

Hufanya kazi kwa mihemko na hisia

Matumizi na ugawaji wa muda

Uharibifu, ugumu na mali iliyoharibika

Uwakili wa fedha na mali

Husema chochote kwa mtu yeyote wakati wowote bila kikomo chochote kinachoonekana Tayari kushusha viwango katika maeneo fulani kwa ajili ya kujiridhisha Hesherekea na kuelekeza ufahamu juu ya viwango mbalimbali vya mambo na mawazo najisi na visivyo vya kimungu

Hutumia maneno kwa uangalifu kusema ukweli na kumjenga mtu anayeyasikia

Hotuba

Huwatendea watu wote ipasavyo kwa usafi kamili kama kiwango

Usafi

Maisha ya mawazo na afya ya akili

Huzingatia mambo ya heshima, ya kweli, mazuri,

Huutendea mwili kama kibanda kilichochakaa

Huuchukulia mwili kama hekalu la Mungu

Mazoezi ya mwili na lishe

Ni uchungu kufanya nae kazi na kumwongoza

Unyenyekevu kwa viongozi

Ni furaha kuongoza

Hupenda kufikiria kwamba “hivi ndivyo nilivyo”

Huchochea roho ya mapigano ili kupigana na tamaa za mwili

Kushinda tabia mbaya

Made with FlippingBook Digital Publishing Software