Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

157

Orodha ya Mambo ya Kuzingatia kwa ajili ya Utumishi wa Kiroho, mwendelezo

12. Tathmini na agizo jipya : Ni lini tutatathmini utendaji wa mtu huyo, na kuamua ni hatua zipi zinazofuata tunazopaswa kuchukua katika nafasi yake ya uongozi katika kanisa?

Made with FlippingBook Digital Publishing Software