Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Kipindi cha 5 Wito kwa Jumuiya Kuelewa Wito Halisi kama Wito kwa Jumuiya
Mungu ni mwaminifu ambaye mliitwa na yeye mwingie katika ushirika wa Mwanawe, Yesu Kristo Bwana wetu.
~ 1 Wakorintho 1:9
Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
~ Matendo. 2:42
Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.
~ 2 Wakorintho 13:14
. . . hilo tuliloliona na kulisikia, twawahubiri na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.
~ 1 Yohana 1:3
Mwili mmoja, na Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu. 4.5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja. 4.6 Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. 4.7 Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo..
~ Waefeso 4:4-7
I. Kuelewa Wito Halisi kama Wito kwa Jumuiya
... Wito wa Mungu kwa ajili ya huduma unaeleweka katika namna ya umoja, kwanza na Maandiko na kisha kwa kawaida na ushirika au kikundi cha watu ambao tunawajibika kwao. Nimeona watu wengi sana ambao wamekataa kwa hasira uongozi wa Mwili wa Kristo ili tu waende kufanya mambo yao wenyewe, hata kama ni mambo yao ya “Kikristo.” Hapa siongelei suala la makubaliano ramsi. Kundi la watu ambao nilijitoa sana kwao, lililoitwa “the Fishermen’s Fellowship,” hawakutaka nihamie Mississippi kihuduma hata kidogo. Lakini walijua kwamba nilikuwa nimeyatoa maisha yangu kwao na wito wa Mungu ukawa wazi kwao waliponiona na kutambua karama zangu. Baada ya hapo niliweza kuacha ushirika huo na aina fulani ya mwelekeo na usaidizi. Kaka na
57
Made with FlippingBook Digital Publishing Software