Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
66
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
Yakobo 1:9-11 Lakini ndugu
2. Wito wa Mungu ni wito wa wazi, unaotambulika na kudhihirishwa kwa njia ya ubatizo.
asiye na cheo na afurahi kwa kuwa ametukuzwa; 10 bali tajiri kwa kuwa ameshushwa; kwa maana kama ua la majani atatoweka. 11 Maana jua huchomoza kwa hari, huyakausha majani; ua lake huanguka, uzuri wa umbo lake hupotea; vivyo hivyo naye tajiri atanyauka katika njia zake. Yakobo 2:5 Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni, Je! Mungu hakuwachagua maskini wa dunia wawe matajiri wa imani na warithi wa ufalme aliowaahidia wampendao?
3. Haiwezekani kuuishi wito halisi wa Mungu kinadharia; wito halisi kwa jumuiya unadhihirishwa katika uaminifu na utumishi ndani ya kanisa fulani mahali fulani.
4. Hali ya kuwakataa na kujitenga na watu wa agano la Mungu inatia shaka juu ya uhalali wa wito wa mtu: “Kama Kanisa si mama yako, Mungu si baba yako” (DJ Cyprian).
B. Kuhusianisha somo na maisha yako
1. Je, mimi ni sehemu ya kanisa la mahali ambamo nina uanachama, ninatambua mamlaka ya kichungaji ya viongozi wake, na ambamo ninatumia karama zangu kwa ajili ya kulijenga Kanisa?
2. Je, ni aina gani ya ukosoaji au lugha ninayotumia kuhusu watu na viongozi wa kanisa ninalohudhuria?
3. Je, ninalipenda kanisa, na kutafuta njia za kuliimarisha kanisa langu katika kila namna, kupitia huduma yangu, utoaji, maombi, na ushiriki wangu?
4. Je, ninahisi wito wa kufanya kazi katika kanisa kwa namna maalum, kwa njia rasmi zaidi, na je, nimewasilisha hili kwa viongozi wangu kanisani?
5. Je, ninapaswa kufanya nini ili kujiandaa kwa ajili ya ngazi inayofuata ya huduma kwa niaba ya Ufalme wa Mungu kupitia mchango wangu katika kanisa?
Made with FlippingBook Digital Publishing Software