Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Kipindi cha 5 : Wito kwa Jumuiya
65
a. Ufafanuzi wa “mamlaka”: exousia – haki halali ya kufanya jambo, na uwezo wa kutekeleza haki hiyo ( mamlaka ya uwakilishi chini ya Kristo ).
(1) Lk. 10:1, 16
(2) Mt. 10:19-20
(3) Mt. 28:18-20
(4) Tit. 2:11-15
Kumbuka: mamlaka inayotolewa kwa aliyeitwa kimaalum ni mamlaka ya uwakilishi : mhudumu aliye na karama ya Mungu anapewa mamlaka chini ya ubwana wa Yesu Kristo; mamlaka ya kutoa malezi, matunzo, wengine. (Taz. Mk. 10:42-45) Hakuna mamlaka ya kubomoa au kuharibu wengine, 2 Kor. 10:8. ulinzi na baraka katika maisha ya Wito kwa jumuiya umejikita katika dhamira ya Mungu kuzijaza mbingu na dunia mpya na maskini na wanyenyekevu; walio maskini katika
b. Kuilinda ile imani waliyokabidhiwa watakatifu mara moja tu (Yuda, Tito 1:9; 2 Tim. 2:22).
c. Kulinda na kuchunga kundi dhidi ya hatari na wanyama wakali (Mdo. 20).
d. Kuchunga na kuwa vielelezo kwa kundi (1 Petro 5).
e. Kuwaandaa watakatifu kwa ajili ya kazi ya huduma (Waefeso 4).
f. Kuongoza kundi katika mapenzi yote ya Mungu (Ebr. 13:17).
II. Kuitikia Wito
A. Matokeo yake kwa huduma ya mjini
1. Ni badiliko la kiroho tu kupitia toba na imani katika Yesu Kristo ndilo jambo litoshalo kwa ajili ya kuingia katika mwili wa Kristo.
ulimwengu huu wamechaguliwa kuwa warithi wa Ufalme ujao.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software