https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
9 8 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
5. Kama mtu wa unabii wa nyakati za mwisho, mtawala huyu angetawala juu ya mataifa kama Bwana na Mfalme, Dan. 2:35-44; Dan. 7:14, 27.
II. Utawala wa Mungu umezinduliwa kupitia ahadi ya agano la Mungu ambayo kilele chake ni Yesu Kristo na kazi yake.
A. Kuja kwa Yesu wa Nazareti kunatazamwa kama Mfalme wa ukoo wa Daudi ambaye atarudisha utawala wa Mungu kwa Israeli.
1. Atatawala juu ya nyumba ya Yakobo milele, Luka 1:31-33.
2
2. Yesu alikuja akitangaza kwamba Ufalme wa Mungu umekuja kwa kufunuliwa kwake, Mk 1:14-15.
3. Yesu ndiye Masihi, Bwana aliyetabiriwa wa ukoo wa Daudi ambaye alikuja kurudisha utawala wa Mungu duniani .
a. Zaburi 132:11
b. Isaya 16:5
c. Amosi 9:11-12
4. Yesu alijitangaza kuwa yeye ndiye utimilifu wa maandiko ya Kimasihi yanayotangaza Siku ya Bwana (rej. Luka 4:18-19 pamoja na Isa. 61:1-3).
Made with FlippingBook Annual report maker