https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 9 9

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

5. Kupitia namna alivyoshinda matokeo ya laana na utawala wa shetani juu ya maisha ya watu, Yesu alidhihirisha kwamba katika yeye Ufalme umekuja!, Mt. 12:25-30.

a. Marko 1:15

b. Marko 11:10

c. Luka 10.11

2

d. Luka 11:20

e. Luka 16:16

f. Luka 17:20-21

B. Ufalme (utawala wa Mungu) uko ndani ya Yesu wa Nazareti: yeye ni Uwepo wa Wakati Ujao . 1 Yohana 3:8 – atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. Katika kila nyanja, maisha na huduma ya Yesu wa Nazareti inawakilisha uwepo halisi, hapa na sasa, leo wa ile “Enzi Ijayo” iliyotabiriwa!

1. Utume wake : kuziharibu kazi za Ibilisi, (Yoh. 3:8).

2. Kuzaliwa kwake : uvamizi wa Mungu katika utawala wa Shetani (Luka 1:31-33).

Made with FlippingBook Annual report maker