https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
1 0 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
3. Ujumbe wake : tangazo na uzinduzi rasmi wa Ufalme (Marko 1:14-15).
4. Mafundisho yake : maadili ya ufalme (Mt. 5-7).
5. Miujiza yake : mamlaka yake na uweza wake wa kifalme (Mk 2:8-12).
6. Kazi yake ya kutoa pepo : kumshinda Ibilisi na malaika zake (Luka 11:14-20).
7. Maisha na matendo yake : ukuu wa Ufalme (Yohana 1:14-18).
2
8. Ufufuo wake : ushindi na uthibitisho wa Mfalme (Rum. 1:1-4).
9. Utume wake : wito wa kutangaza Ufalme wake ulimwenguni pote (Mt. 28:18-20).
10. Kupaa kwake : kutawazwa kwake (Ebr. 1:2-4).
11. Roho wake : arabuni (dhamana, ahadi) ya Ufalme (2 Kor. 1:20-22).
12. Kanisa lake : kionjo na wakala wa Ufalme (2 Kor. 5:18-21).
13. Kikao chake cha sasa mbinguni : uongozi wa majeshi ya Mungu (1 Kor. 15:24-28).
14. Parousia yake (kuja): utimilifu kamili na wa mwisho wa Ufalme (Ufu. 19:11-19).
Made with FlippingBook Annual report maker