https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
1 0 4 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
D. Utume ni ushiriki katika Vita vya Milki .
1. Utume si kitu kingine zaidi ya tangazo la kuja kwa utawala wa Mungu duniani katikati ya eneo la shetani (milki yake) mwenyewe, 1 Yohana 4:4.
2. Umisheni unamtangaza Masihi Yesu kuwa utimilifu wa unabii wa Kimasihi katika siku na wakati wetu, ambaye lazima atawale mpaka adui zake wote wawekwe chini ya miguu yake, 1 Kor. 15:24-28.
3. Kanisa limepewa mamlaka ya kutumia silaha za vita vya Mungu katika kutangaza Habari Njema ya Ufalme ulimwenguni kote.
2
E. Silaha za vita vyetu 2 Kor. 10:3-5 – Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; 4 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) 5 tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo.
1. Silaha zote za Mungu, Efe. 6:11.
2. Mamlaka (kwa njia ya utambulisho na umoja hai pamoja na Kristo), Efe. 1:13.
3. Neno la Mungu, Efe. 6:17.
4. Ngao ya imani, Efe. 6:16.
Made with FlippingBook Annual report maker