https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

1 3 6 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

4. Hukumu ya Mungu: kuwatawanya na kuwalazimu kuacha kazi ya kujenga mji, na Mungu akawafanyia jina : “Babeli” (mkanganyiko).

5. Babeli (Babiloni), ishara ya majivuno ya wanadamu wasiomcha Mungu.

C. Mji unahusishwa na uovu na kutomcha Mungu: Babiloni.

1. Hukumu ya Isaya dhidi ya Babeli kama mpenda anasa na kujivunia tu usalama wake wenyewe, Isa. 47:7-8.

2. Babeli inayohusishwa na maono ya kinabii ya uasi wa kishetani.

3

a. Isa. 14:3-4

b. Isa. 14:12-14

c. Isa. 13:19

3. Kielelezo cha kitabu cha Danieli kuhusu Nebukadreza kama mtawala mwenye kiburi, anayejitegemea ambaye anapuuza nafasi ya Mungu katika kazi au utukufu wake, Dan. 4:29-32.

4. Babeli ni ishara ya kutomcha Mungu, ambapo wafalme wa dunia wanafanya uzinzi, wakitafuta usalama katika nguvu za jiji na si kwa Mungu, Ufu. 18:1-21; rej. Ufu. 18:1-3.

D. Mji ni mahali ambapo hukumu ya Mungu inadhihirika na kuonyeshwa: Sodoma na Gomora, Yeriko, Yerusalemu, na Ninawi.

Made with FlippingBook Annual report maker