https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

1 3 8 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

(2) Yer. 5:17 (3) Yer. 21:13

4. Yerusalemu, mji ambao Mungu aliuchagua, ulihukumiwa kwa sababu ya uasherati na kutomcha Mungu.

a. Fahari yake, Yer. 13:9.

b. Ukilinganishwa na Sodoma na Gomora, Yer. 23:14.

c. Kuitwa jiji la watesi, Sef. 3:1-2.

3

d. Asiye mwaminifu kwa Mungu kwa sababu ya kuishi kama kahaba na miungu ya kigeni, Isa. 1:21.

e. Ukilinganishwa na Samaria na ukaonekana kuwa mpotovu hata zaidi ya Samaria, Eze. 16:1-2, 48, 51.

f. Anayewaua manabii na kuwapiga kwa mawe wale ambao Mungu amewatuma, Lk 13:34.

5. Miji ya Ninawi na Samaria ilipata hukumu na matamko makali zaidi ya Mungu kwa sababu ya ukosefu wao wa haki, umwagaji damu, na uasi dhidi yake, Yon. 1:1-2; Nah. 3:1; Marko 1:5.

6. Yesu alishutumu ugumu wa moyo wa Yerusalemu na majiji mengine ambayo hayakupokea ujumbe wa Mungu wa Ufalme kupitia Yeye.

a. Mt. 11:20

Made with FlippingBook Annual report maker