https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 1 3 9

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

b. Luka 13:34

III. Tendo la Mungu kuichukua dhana ya mji: Moyo wa Bwana kwa ajili ya miji

Yerusalemu Mpya kama Uthibitisho wa Mwisho wa Mji

A. Yerusalemu katika moyo wa Mungu

Uthibitisho wa mwisho wa mji unakuja katika maono ya Ufunuo kuhusu Yerusalemu Mpya, ambayo inashuka kutoka mbinguni (Ufu. 21:2), ishara ya asili yake ya kimungu na ukweli kwamba dhana ya mji inapita ukweli wa kibinadamu na wa kidunia. Kwa kuonekana kwa jiji hili la mbinguni, “Ufalme wa dunia umekwisha kuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake” (Ufu. 11:15). Mpinzani wake wa kale, Babeli, ambaye anajaribu kuupindua mji wa Bwana, hatimaye ataangamizwa na kutupwa chini (Ufu. 18). Yerusalemu Mpya hii haitakuwa na hekalu, “kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana Kondoo, ndio hekalu lake” (Ufu. 21:22), na haitahitaji jua, kwa kuwa utukufu wa Mungu utakuwa nuru yake ya milele (Mst. 23). Zaidi ya hayo, “Wafalme yake” (mstari 24). Laana ya Anguko itaondolewa na, pamoja nayo, ukosefu wa haki na ubatili ambao ulikuwa hali ya maisha katika jiji la mwanadamu. ~ Leland Ryken. The Dictionary of Biblical Imagery. (t+oleo la kielektroniki). Downers Grove, IL: IVP, 2000. uk 153. wa dunia wataleta utukufu wao ndani

1. Mungu alijichagulia mji wa Yerusalemu, ingawa Daudi aliuteka Sayuni katika vita vyake.

a. Kutekwa kwa Sayuni vitani na Daudi, 2 Sam. 5:4-10.

b. Uteuzi wa Mungu kwa Yerusalemu. (1) 2 Nya. 12:13 (2) Zab. 48:1 (3) Zab. 78:68-70 (4) Zab. 132:13 (5) Isa. 14:32

3

2. Bwana aliuthibitisha Yerusalemu na amekusudia kuufanya kuwa sifa duniani.

a. Isa. 62:6-7

b. Isa. 62:12

3. Ajabu ya Kiungu: Mungu alichagua kitu ambacho mwanadamu aliumba (hii ni sawa na wazo la ufalme ; ingawa watu wa Mungu

Made with FlippingBook Annual report maker