https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
1 4 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
walichagua mfalme kinyume na mapenzi ya Mungu, Mungu alilichukua wazo hilo na kulipanua kwa madhumuni yake mwenyewe).
a. Watu wa Mungu walitamani mfalme na si mapenzi ya Mungu yaliyo wazi, 1 Sam. 8:4-9.
b. Mungu alilichukua wazo la mfalme kwa kusudi na utukufu wake. (1) Isa. 9:6-7 (2) Yer. 23:5-6
B. Mungu anabadilisha taswira ya mji kama ishara ya uasi kuwa mji wa makimbilio .
3
1. Miji sita iliteuliwa katika Israeli kama mahali ambapo mtu angeweza kukimbilia ili kujiokoa na kisasi.
a. Kuhusishwa na makuhani, Hes. 35:6.
b. Ili kuepuka kifo, Hes. 35:12.
c. Kwa mgeni na mkaaji pia, Hes. 35:15.
2. Majiji yaliyoonekana kuwa yenye jeuri na umwagaji damu sasa yanaonekana kuwa mahali pa ulinzi na usalama.
C. Mungu husamehe mji unaochagua kutubu.
Made with FlippingBook Annual report maker