https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 1 4 1
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
1. Mungu anawatuma manabii wake kutangaza maneno yake ya ole dhidi ya miji kwa sababu ya uovu na makosa yao, Yon. 1:2, Yon. 3:2, Isa. 58:1, Amosi 7:15, Zek. 1:14.
2. Mungu anatamka ole na kuahidi uharibifu kwa mji usiotubu, Yon. 3:4.
3. Hukumu ya Mungu, hata hivyo, itazuiliwa ikiwa mji utageuka na kuachana na njia zake mbaya na kutubu.
a. Yer. 18:7-10
b. Jon. 3:10
3
4. Mwenyezi Mungu hafurahii kuangamizwa kwa miji, bali ataghairi na kusamehe ikiwa wataonyesha dalili za unyenyekevu na toba.
a. Jon. 4:2
b. Kut. 34:6-7
D. Dondoo kuhusu kazi ya Mungu: kuna tumaini kwa ajili ya miji, kwa sababu Mungu wetu ni Mungu mwema na mwenye kusamehe, wala hapendi maelefu haya ya watu yaangamie!
1. Atazuia hasira yake juu ya wale wanaotubu, hata wale wa jiji limwagalo damu, Zab. 78:38.
2. Rehema zake hushinda hukumu yake mbele ya watu wanaotubu, Hos. 11:8-9.
Made with FlippingBook Annual report maker