https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

1 4 8 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

1. Huduma ya Yesu ilijikita katika miji, Mt. 4:23-25.

a. Neno mji ( polis ) limetumika mara 39 katika Luka kuhusiana na muktadha wa huduma ya Yesu.

b. Luka 7:37

c. Luka 8:1-4

d. Luka 10:1

e. Luka 18:2-3

3

2. Kazi ya Yesu ya kutangaza na kuonyesha ufalme ilitokana na agizo la kutangaza Ufalme Yerusalemu, Luka 19:41-44.

a. Huduma ya Yesu ilikuwa kuanzisha utawala wa Ufalme huku Yerusalemu ikiwa sehemu muhimu ya mpango huo.

b. Kwa sababu ya ujinga wa kiroho wa mji huo, utawala wake juu ya Yerusalemu ulikataliwa.

3. Ukristo ulizaliwa katika mji, Yerusalemu, na kuenea kupitia miji mikuu ya ulimwengu wa Kirumi katika karne ya kwanza. Dini yetu ni ya mijini kwa asili, ambayo ilikita mizizi katika majiji kama vile Dameski, Antiokia, Korintho, Filipi, Thesalonike, Athene, na hata Roma.

Made with FlippingBook Annual report maker