https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
2 8 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
d. Waefeso 2:7
2. Kwa njia ya Yesu Kristo na kazi yake: Yesu wa Nazareti ndiye kitovu cha kazi ya Mungu ya wokovu na ukombozi ulimwenguni.
a. Matendo 10:42-43
b. 1 Wakorintho 3:11
1
c. 1 Timotheo 2:5-6
d. 1 Yohana 5:11-12
3. Katika uwezo wa Roho Mtakatifu: nafsi ya Roho Mtakatifu ni nguvu ya utendaji wa kazi ya utume.
a. Zekaria 4:6
b. Yohana 16:13-15
c. Luka 24:49
d. Matendo 1:8
e. Matendo 2:1-4
Made with FlippingBook Annual report maker