https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 2 9
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
4. Kwa makundi yote ya watu: Injili ya ukombozi wa Mungu katika Kristo inapaswa kutangazwa kwa mataifa yote (makundi ya watu), kuanzia Yerusalemu na kuendelea hadi mwisho wa dunia.
a. Matendo 1:8
b. Marko 16:15
1
c. Luka 24:46-47
B. Vipengele vya ufahamu wa kibiblia wa utume
1. Utume lazima uwe na msingi katika ufahamu sahihi wa Mungu na makusudi yake kwa ulimwengu, 2 Tim. 1:8-10.
2. Lazima uhusishe maelezo yote ya kihistoria katika mada moja, Rum. 8:29-30.
3. Lazima uwe na mizizi katika Maandiko yenyewe, Yoh 5:39-40; Luka 24:44-48.
4. Lazima ujengwe katika Yesu Kristo na kazi yake, Mdo 4:12; 1 Yoh. 5:11-13.
5. Lazima uchukue kwa uzito njia ya Biblia yenyewe ya kujadili utume: kupitia taswira, picha, na hadithi.
Made with FlippingBook Annual report maker