https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 3 1
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
b. Kuonyesha ukamilifu wake katika ulimwengu, Zab. 19:1.
c. Kujikusanyia jamii ya watu kwa ajili yake mwenyewe, Isa. 43:7, 21.
3. Siri ya kuasi : uasi wa «Nyota ya Alfajiri» (Lusifa), Isa. 14:12-20; Eze. 28:13-17.
4. Enzi na mamlaka, Kol. 2:15.
1
B. Mwanzo wa Wakati (Uumbaji), Mwa. 1-2.
1. Neno liumbalo la Mungu wa Utatu, Mwa. 1:3; Zab. 33:6,9; Zab. 148:1-5.
2. Kuumbwa kwa wanadamu: Imago Dei , Mwa. 1:26-27.
C. Mwanzo wa Wakati (Anguko na Laana), Mwa. 3.
1. Anguko na Laana, Mwa. 3:1-9.
2. Protoevangelium : Uzao ulioahidiwa; Mwanzo 3:15.
3. Mwisho wa Edeni na utawala wa kifo, Mwa. 3:22-24.
4. Ishara za kwanza za neema, Mwanzo 3:15, 21.
Made with FlippingBook Annual report maker