https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
3 2 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
D. Kufunuliwa kwa Wakati (Kufunuliwa kwa mpango wa Mungu kupitia Israeli).
1. Ahadi kwa Ibrahimu na agano la Yahweh (Mababa); Mwanzo 12:1-3; 15; 17; 18:18; 28:4.
2. Kutoka na agano la Sinai, Kutoka.
1
3. Kutekwa kwa wenyeji na Nchi ya Ahadi, Yoshua-2 Mambo ya Nyakati.
4. Mji, Hekalu na Kiti cha Enzi, Zab. 48:1-3; 2 Nyak. 7:14; 2 Sam. 7:8-.
a. Jukumu la nabii, kutangaza neno la Bwana , Kum. 18:15.
b. Jukumu la kuhani, kumwakilisha Mungu na watu , Ebr. 5:1 – Maana kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajili ya dhambi.
c. Jukumu la mfalme, kutawala kwa uadilifu na haki kwa niaba ya Mungu , Zab. 72.
5. Utumwa na Uhamisho - Danieli, Ezekieli, Maombolezo.
6. Kurudi kwa Mabaki - Ezra, Nehemia.
Made with FlippingBook Annual report maker