https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 3 3

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

E. Utimilifu wa Wakati (Kufanyika Mwili kwa Masihi), Gal. 4:4-6.

1. Neno kufanyika mwili, Yoh. 1:14-18; 1 Yoh. 1:1-4.

2. Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji, Mt. 3:1-3.

3. Ufalme umekuja kupitia Yesu wa Nazareti, Mk 1:14-15; Lk 10:9-11; 10:11; 17:20-21; Mt. 12:28-29.

1

a. Umefunuliwa katika nafsi yake, Yoh. 1:18.

b. Umedhihirishwa katika kazi zake, Yoh. 5:36; 3.2; 9.30-33; 10.37 38; Mdo 2:22; 10.38-39.

c. Umefasiriwa katika ushuhuda wake, Mt. 5-7.

4. Kufunuliwa kwa siri ya Ufalme, Mk 1:14-15.

a. Ufalme tayari upo, Mt. 12:25-29.

b. Ufalme bado haujakamilishwa, Mt. 25:31-46.

5. Mateso na kifo cha Mfalme aliyesulubiwa, Mt. 26.36-46; Marko 14.32-42; Luka 22:39-46; Yoh. 18:1 na kuendelea.

Made with FlippingBook Annual report maker